RFI Kiswahili’s episodes
24 episodes of the shows RFI Kiswahili hosts or works on, newest first. See the PodCred breakdown
- DRC na Rwanda zahamishia mvutano katika Francophonie, mkutano wa tabianchi COP31 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-11-21
- Kundi la FRN lakabiliwa na vikwazo vya UN, mkutano wa COP31 kuendelea Antalya · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-11-14
- ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-11-07
- ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-10-31
- Watu 11 wakwama katika jengo lililoporomoka jijini Nairobi, hali ya Ebola kuzua wasiwasi · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-10-24
- Rais wa zamani wa DRC aunda chama kipya cha uasi, wakenya wamkumbuka Raila · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-10-17
- Kenya hakuna mlipuko wa Ebola, ajali ya gari yaua 32 nchini Tanzania · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-10-10
- Uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote, na kifo cha Chivayo huko Zimbabwe · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-10-03
- Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia. · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-09-27
- Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-09-12
- Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-09-05
- Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, Tshisekedi azindua mazungumzo ya kitaifa bila M23 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-08-29
- Ziara ya rais wa DRC nchini Tanzania, ushindi wa Hakainde Hichilema huko Zambia · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-08-22
- Uchaguzi wa nchini Zambia, siasa za DRC, Kenya naTanzania kushika kasi · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-08-15
- Mahakama ya haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-08-08
- Kuzirai kwa kiongozi wa upinzani Uganda, mahakama ya katiba nchini DRC yaamua · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-08-01
- Watu zaidi ya 20 kuuawa mashariki mwa DRC, mchakato wa katiba mpya Tanzania · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-07-25
- Matokeo ya uchaguzi mdogo Ol Kalou Kenya; rais wa DRC aitisha mazungumzo jumuishi · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-07-18
- Makubaliano kati ya Marekani na Iran kuvunjika, maandamano ya mawakili wa Kenya · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-07-11
- DRC yasherehekea miaka 66 ya uhuru, amnesty yalaani vita Sudan, mazishi ya Khamenei huko Iran · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-07-04
- Maandamano ya Gen Z Kenya, ziara ya rais Ndayishimiye DRC,vifo Venezuela vyafikia920 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-06-27
- DRC na kombe la dunia, pia ebola,Gen z kuandamana juni 25 Kenya,hali ya sasa Iran · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-06-20
- Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-06-13
- Ufaransa yazindua mnara wa kumbukumbu ya genocide Rwanda, mgomo wa kitaifa DRC · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · 2026-06-06

