
Uamuzi kuhusu mshindi wa AFCON 2025, Mechi za kufuzu BAL msimu wa saba
Mhakama ya michezo duniani CAS wiki hii ilibatilisha uamuzi wa CAF kuipokonya Senegal ubingwa wa AFCON 2025, CAF yaanzisha VAR kwenye mechi za klabu bingwa, mechi za kufuzu Ligi ya Kikapu Afrika zaendelea, makao makuu ya AFCON 2027 yazinduliwa jijini Dar es Salaam, mahakama yasimamisha kutimuliwa kwa aliyekuwa naibu rais wa FKF Mariga, rais wa FC Saint Eloi Lupopo ajiuzulu, bondia wa DRC, FIFA yatangaza waandaaji wa Kombe La Dunia la kina dada mwaka 2031 na 2035, Kombe la Dunia U17.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

