Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Kenya: Uchunguzi wabainisha uwepo wa kemikali hatari kwenye bidhaa za plastiki
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
Nobody is credited on this episode yet.
Baada ya mkutano wa kimataifa wa tabianchi COP31 kutamatika bila makubaliano mapya ya namna mataifa yanatakiwa kuendeleza mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, macho yote sasa yanaelekezwa mkutano ujao COP32....
Nchini Kenya, kundi la wajasiriamali limebuni mbinu ya kipekee ya kubadilisha sekta ya elimu kwa kutumia magazeti ya zamani kutengeneza penseli, huku lengu kuu likiwa kuchangia katika uhifadhi wa mazingira. Kila mwezi,...
Katika mkutano wa tabia nchi mwaka huu COP31, jijini Antalya, Uturuki, wadau mbalimbali wamesisitiza dunia kuondoka katika kutoa ahadi na kuanza kuleta matokeo ya haraka na yenye tija. Sayari imekuwa ikikabiliwa na...
Wakati ulimwengu ukiwa katika njia panda kutokana na kasi ya kupotea kwa viumbe hai na mabadiliko ya tabianchi, mji mkuu wa Armenia, Yerevan, kuanzia Oktoba 19-30 mwaka huu ulikuwa kitovu cha matumaini mapya. Kupitia...
Pamoja na Bwana Zephaniah Kivungi, mkurugenzi wa tabianchi katika shirika la CIFF, tunaendelea na awamu ya pili ambapo nilikuahidi kuangazia ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha kuwa biashara ya kaboni zinawakilisha...