
Taarifa ya Habari:Mpango wa kununua bunduki kutoka umma waanza leo jimboni New South Wales
Zaidi ya silaha za moto 2,000 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa polisi katika wiki zijazo, huku mpango wa serikali moja ya jimbo wa kununua tena silaha ukianza leo.
#sbsaudiopodcast
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

