
Be prepared for snake season in Australia - Australia Yafafanuliwa: Jiandae kwa msimu wa nyoka nchini Australia
Snakes are often seen in Australia in spring and summer. You may also see one at other times of year, depending on the weather. Here are some expert tips on snake behaviour and what to do if you see one. - Nchini Australia, nyoka huonekana mara nyingi wakati wa majira ya kuchipua na majira ya joto. Unaweza pia kuwaona nyakati nyingine za mwaka, kulingana na hali ya hewa. Makala haya yana ushauri kutoka kwa wataalamu kuhusu tabia za nyoka na nini cha kufanya ukiona mmoja.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

