SBS Audio’s episodes
1,075 episodes of the shows SBS Audio hosts or works on, newest first. See the PodCred breakdown
- Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu Albanese, atumia hotuba yake kwenye mkutano wa APEC kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa Rais wa Urusi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-20
- Yaliyojiri Afrika:Tanzania na Uganda kupunguza gharama za uchukuzi nakuondoa vikwazo vya biashara · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-20
- Makala Leo:Hatimaye, habari njema kuhusu pengo la malipo kati ya jinsia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-20
- Taarifa ya Habari:Albanese"sitaruhusu mkutano huo wa pande tatu kufunika maslahi ya Australia" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-19
- Yaliyojiri Afrika: Wagonjwa wengi wa Ebola wafia katika vituo vya matibabu DRC · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-19
- Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-17
- Makala Leo:Kutoka kipaza sauti kilichosalia kuwashwa hadi ulaji wa kuku wa viungo vikali,Albanese anafanya nini ASEAN? · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-17
- Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-13
- SBS Learn Eng Ep 123 Jinsi yakuzungumzia usiku wakuamkia baada yakuhudhuria sherehe · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-13
- Yaliyojiri Afrika: Maelfu wakimbia vurugu Ethiopia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-13
- Taarifa ya habari:Waziri Mkuu Albanese akosolewa katika mkutano wa kilele kuhusu tabianchi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-13
- Taarifa ya Habari:Msuluhishi wa malalamishi atoa tahadhari kwa wanao lengwa na makampuni yasiyo na leseni kuhusu kuhamisha fedha zao zakustaafu · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-10
- Makala Leo:Serikali za QLD na NT zazuia ziara ya afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-10
- Taarifa ya Habari: Vijana wahalifu kuwekwa kizuizini hadi mwaka mmoja kupitia sera mpya kali Victoria · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-09
- Yaliyojiri Afrika: WHO yaidhinisha majaribio ya chanjo mbili mpya za Ebola DRC · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-06
- Taarifa ya Habari:Wataalam wataka huduma za afya ya wanawake ziboreshwe · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-06
- Makala Leo:One Nation yatikisa uchaguzi wa Victoria · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-06
- Makala Leo:Nini kitafuata katika sera ya Marekani kuhusu vita na Iran baada ya kushindwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula? · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-06
- Taarifa ya Habari: Australia yatoa wito wa kukomesha vita vya Iran · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-05
- Yaliyojiri Afrika: Uganda yarejesha wanajeshi wake nyumbani · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-03
- Taarifa ya Habari:Waajiri nchini washauriwa kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na moto wa vichaka · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-03
- Makala Leo: Huwezi mudu kununua nyumba? Huenda ikawa ni bora kwako · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-03
- Be prepared for snake season in Australia - Australia Yafafanuliwa: Jiandae kwa msimu wa nyoka nchini Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-03
- Taarifa ya Habari:Mpango wa kununua bunduki kutoka umma waanza leo jimboni New South Wales · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-11-02
- Makala Leo:Je,hauna muda wa kufanya mazoezi? Utafiti mpya unalenga kuthibitisha jambo hilo kupitia mapumziko ya kufanya mazoezi ambayo hulipwa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-30
- Taarifa ya Habari:Mvutano kuhusu mbunge wa ibuka kati ya Labor na One Nation · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-30
- Makala Leo:Ukosefu wa usalama wa chakula ni tatizo linalozidi kuongezeka kwa familia za Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-30
- Yaliyojiri Afrika:Waathirika wa machafuko ya uchaguzi Tanzania waendelea kutafuta majibu · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-30
- Taarifa ya Habari: Lissu asitisha mgomo wa kula · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-29
- How people shape change, and why your voice matters | How Australia Works - Jinsi watu wanavyochagiza mabadiliko, na kwa nini sauti yako ni muhimu | How Australia Works · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-27
- Taarifa ya Habari: Lissu atarajiwa kuanza mgomo wa kula na kutumia dawa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-27
- Makala Leo:Uwanja mpya wa ndege katika eneo la Magharibi Sydney waanza kutumiwa rasmi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-27
- Makala Leo: Je, Victoria inaweza elekea upande wa mrengo wakulia baada ya miaka 12 ya utawala wa chama cha Labor? · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-27
- Taarifa ya Habari:Bunge larejea tena wiki moja baada ya shambulio dhidi ya mbunge huru Helen Haines · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-26
- Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-20
- Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-20
- How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-20
- Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST) · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-19
- Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-16
- Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-16
- Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberra · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-16
- SBS Learn Eng Ep 120 Jinsi yakuzungumza kuhusu kuhudhuria harusi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-16
- Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-16
- Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945 · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-15
- How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi. · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-13
- Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-13
- Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-13
- Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-12
- Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-09
- Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-09
- Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-09
- Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya Kenya wahoji maandalizi ya serikali kudhibiti Ebola · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-09
- Taarifa ya Habari:Kikosi maalum cha polisi kuzinduliwa kufuatia tukio la fukwe ya Bondi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-08
- Yaliyojiri Afrika:Hali ya wasiwasi yaendelea mjini Mekelle baada ya waasi wa TPLF kuondoka · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-06
- Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-06
- Taarifa ya Habari:Mweka Hazina aashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-10-06
- Nani hasa anaiendesha Australia, na una nafasi gani humo | Jinsi Australia Inavyofanya kazi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-28
- Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-28
- Travelling safely in rural and remote Australia - Australia Yafafanuliwa:Kusafiri kwa usalama katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali nchini Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-28
- Mh Dkt Kosgei"Walemavu hawahitaji huruma, wanahitaji kulindwa kulingana na sheria na katiba ya Kenya" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-25
- Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho yazingatia hatua zakisheria dhidi ya shirika la OpenAI kwa uvujaji wa taarifa za Medicare · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-25
- Albert Mwangi Kuhusu African Australia film fest web · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-25
- Noel"ripoti hii ina ushahidi wamambo mazuri tunayo fanya kuliko wanasiasa na vyombo vya habari vinavyo sema" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-25
- Dkt Jane "kuna wakati ukienda dukani mlinzi anakufuata fuata, tofauti na wateja wengine ambao si weusi" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-22
- Taarifa ya Habari:Wachumi wasema ripoti ya Serikali kuhusu Vizazi inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-22
- Harrison "inabidi tupeleke tamasha hili katika zingine za kanda hili" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-22
- Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-21
- Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya" · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-18
- Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-18
- SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-18
- Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-18
- Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-17
- Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-17
- What are Indigenous Protected Areas in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Maeneo Yaliyolindwa yawatu wa Asili nchini Australia ni yapi? · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-15
- Taarifa ya Habari:Mageuzi ya sheria kuwasilishwa bungeni,kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-15
- Yaliyojiri Afrika:Kamati itakayo fanyia kazi mchakato wa maridhiano ya kisiasa Zanzibar yazinduliwa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-15
- Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-15
- Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yaendelea kukabiliana na shinikizo lakutangaza msimamo wayo kwa viwango vya uhamiaji nchini · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-11
- Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/11 · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-11
- Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-11
- Taarifa ya Habari:Upinzani wa mseto waomba maelezo zaidi kabla ya kura ya mageuzi ya sheria za mitandao ya kijamii zilizo imarishwa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-08
- Yaliyojiri Afrika:Agizo la Rais Ruto lazua hofu miongoni mwa wahamiaji wenye asili ya Burundi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-08
- Makala Leo: Unachohitaji kujua kuhusu magonjwa ya msimu huu wa masika · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-08
- Taarifa ya Habari:Sera ya malipo ya uzeeni ya One Nation yakosolewa vikali · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-07
- Mumbi afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-09-02
- Makala Leo: Dunia yamkumbuka gwiji wa muziki Dolly Parton · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-28
- Yaliyojiri Afrika: CCM yamtimua Dkt Emmanuel Nchimbi · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-28
- Taarifa ya Habari:Australia yatoa kifurushi cha usaidizi cha dola milioni 5 kwa jamii zilizoathiriwa nchini Nepal · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-28
- Makala Leo:Kwa nini baraza lamawaziri wakitaifa haliku gusa vituo vya mbadala vya data · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-28
- Makala Leo:Wa Australia 34 miongoni mwa watu ambao wamepotea katika mafuriko Nepal · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-28
- Taarifa ya Habari:Makumi yawa Australia hawajulikani waliko katika mafuriko nchini Nepal · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-27
- Yaliyojiri Afrika:Ujumbe maalum wafuatilia usitishaji mapigano DRC · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-25
- Taarifa ya Habari:Hospitali za New South Wales kupewa nafasi zaidi za matibabu · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-25
- Makala Leo: Mrundikano wa visa za wenza unao waacha waaustralia katika sintofahamu · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-25
- Makala Leo:'Usibofye kitu chochote':Jinsi barua pepe moja inavyoweza haribu biashara · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-25
- Taarifa ya Habari:Ripoti mpya yaitaka Australia iboreshe usalama wa dawa na itoe wakalimani kwa jamii za tamaduni mbalimbali · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-21
- Yaliyojiri Afrika:7 wafariki katika ajali ya helikopta Kenya · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-21
- Makala Leo:Mabadiliko ya NDIS yatakuathiri vipi? · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-21
- Yaliyojiri Afrika:Askari pori watuhumiwa kwa mauaji ya raia Tanzania · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-18
- Taarifa ya Habari:Upinzani wa Mseto watishia kuzuia mabadiliko ya NDIS isipokuwa mwanya wa kodi ya mjane utakapofungwa · SBS Swahili - SBS Swahili · 2026-08-18

